Msaada: Naomba kujuzwa Chuo kinachotoa kozi ya Labour Relations & Public Management

Gg111

New Member
Dec 16, 2018
2
0
Habarini za muda wakuu!

Tafadhali aliyesoma kozi ya Labour Relations & Public Relations kuanzia ngazi ya cheti.

Naomba anijulishe alisomea chuo gani, ukiachilia mbali ISW {Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama}
 
Back
Top Bottom