Msaada: Naomba kujua Daktari bora anayehusiana na vimbe katika mwili

Nandinii

JF-Expert Member
Jun 19, 2019
2,573
2,808
Wakuu habari ya muda, anayejua hospitali nzuri ambayo kuna vipimo bora vya mtu mwenye uvimbe kwenye shingo au Daktari mzuri apa dar es salaam ambaye anahusiana na vimbe katika mwili mfano shingoni.

Naomba anisaidie.
 
Back
Top Bottom