Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,907
- 4,717
ApplyNimeona mzumbe wao wako open kwenye application
ApplyNimeona mzumbe wao wako open kwenye application
ni ndogo sana, ni kama hizi tunalipia watoto wetu shule za english medium, nalipia watoto 6 primary. ada inazidi hata wale wa chuo.Wasalaam wakuu......
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza waungwana naomba kujuzwa Ada kwa vyuo vikuu vya serikali ni kiasi gani kwa undergraduate degree program yaani ile tunasemaga digrii
Mkuu utakuwa kwenye litaasisi likubwa unakunja mpunga mkubwani ndogo sana, ni kama hizi tunalipia watoto wetu shule za english medium, nalipia watoto 6 primary. ada inazidi hata wale wa chuo.
biashara tu mkuu, huko tulishatoka.Mkuu utakuwa kwenye litaasisi likubwa unakunja mpunga mkubwa