Msaada: Naomba kufahamu bei za mabati ya msauzi

Msaada: Naomba kufahamu bei za mabati ya msauzi

Kadegree

Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
46
Reaction score
10
Habari zenu wakuu. Nina mpango wa kujenga nyumba eneo la MATARAWE NJOMBE MJINI. Nyumba ni ya vyumba 3 na sebule. Hivyo naomba kufahamu bei ya mabati ya MSAUZI. Natanguliza shukurani.
 
jamani hii thread ikapita bure bure?
Mi mwenyewe nahitaji details za hii kitu.:becky:
 
HIV huwa yanaringana ukubwa na Yale ya kawaida mepesi yenye migongo mwembamba
 
Back
Top Bottom