Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,170
- 21,310
Habari,
Naomba msaada kwa anayejua Makao Makuu NIDA kwa hapa Dar, sehemu, mtaa na eneo kwa ujumla.
Sijapata kitambulisho cha NIDA ila namba ninayo, nataka kupitia namba nipate copy ya kitambulisho mbele na nyuma.
Utaratibu wa kuchukua online naona NIDA wameutoa, nataka kufika ofice zao nione kama naweza pata hizo copy
Kwa ambaye alishapata huo msaada, maelezo tafadhali.