Msaada: Naomba kuelekezwa yalipo Makao Makuu ya NIDA jijini Dar, nahitaji nakala ya kitambulisho cha utaifa

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
5,738
2,000
Habari,

Naomba msaada kwa anayejua Makao Makuu NIDA kwa hapa Dar, sehemu, mtaa na eneo kwa ujumla.

Sijapata kitambulisho cha NIDA ila namba ninayo, nataka kupitia namba nipate copy ya kitambulisho mbele na nyuma.

Utaratibu wa kuchukua online naona NIDA wameutoa, nataka kufika ofice zao nione kama naweza pata hizo copy

Kwa ambaye alishapata huo msaada, maelezo tafadhali.
 
Super Villain

JF-Expert Member
Jan 2, 2019
9,333
2,000
Ndugu yangu mbona vitu ni simple ulijaribu kweli hii website yao link hii hapa 👇

Alafu mbona ukiingia Google tu ukiandika NIDA Tanzania unaletewa kila kitu hiyo location uliotaka na maeelezo yakutosha tu kuna Google Map unaweza ingia ukasearch ukapata location ya NIDA n.k
 
jooohs

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
1,434
2,000
Kama upo kinondoni makao makuu yapo kawe mwisho kabisa kituoni pale kwa mchungaji mwamposa .ukishuka hapo ni mwendo wa dakika 4 mpaka kufika ofisini

Kama upo ubungo, makao makuu yapo kibamba. Unapanda gari mbaka mbezi Kimara, kisha unatafuta magari yakuelekea kibamba nauli 400
 
Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
5,738
2,000
Ndugu yangu mbona vitu ni simple ulijaribu kweli hii website yao link hii hapa

Alafu mbona ukiingia google tu ukiandika NIDA Tanzania unaletewa kila kitu hiyo location uliotaka na maeelezo yakutosha tu kuna Google Map unaweza ingia ukasearch ukapata location ya NIDA nk...
Namba ninayo tayari ,nishaipata walinitumi a,

Nataka copy ya kitambulisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Claret

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
757
1,000
Mkuu kama nakumbuka yapata wiki kama mbili na nusu Waziri Mkuu akijibu maswali bungeni alisema wenye namba tu hata kama hawana kitambulisho wala nakala wahudumiwe kwenye ofisi watakazokwenda nami pale UHAMIAJI nilipata huduma japo sikuwa na nakala ya kitambulisho.

Nakushauri kwanza ukahudumiwe kwani namba kama ipo mengine ni madogo mno.
 
Wanahitaji copy mkuu,

Hapa nawaza napata vip, ila namba ninayoSent using Jamii Forums mobile app
 
impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,132
2,000
Kama upo kinondoni makao makuu yapo kawe mwisho kabisa kituoni pale kwa mchungaji mwamposa .ukishuka hapo ni mwendo wa dakika 4 mpaka kufika ofisini

Kama upo ubungo, makao makuu yapo kibamba. Unapanda gari mbaka mbezi Kimara, kisha unatafuta magari yakuelekea kibamba nauli 400

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kinondoni anapata na mafuta ya mwaposa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom