Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 374
- 638
KUA MAKINI!
Kaa ulipo tu , kama ulipo ushajikita, pambana hapo .
Kuna dogo nilimtafutia kazi kwa showroom ya magari msahara +bonus alikuwa 1.2M hakosi kwa mwezi . Mazda na Honda wakaja wakitafuta wauzaji waliokomaa so wakamshawishi na 1.8M mshahara. Jamaa akajump ship kuendea hela , mwaka haukuisha akafutwa kazi na kubaki bila kitu . Pale alipokuwa zamani bado panaendelea mpaka leo . Be keen usipoteze vyote
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mkuu habari, naomba connection ya kazi za showroom.Kaa ulipo tu , kama ulipo ushajikita, pambana hapo .
Kuna dogo nilimtafutia kazi kwa showroom ya magari msahara +bonus alikuwa 1.2M hakosi kwa mwezi . Mazda na Honda wakaja wakitafuta wauzaji waliokomaa so wakamshawishi na 1.8M mshahara. Jamaa akajump ship kuendea hela , mwaka haukuisha akafutwa kazi na kubaki bila kitu . Pale alipokuwa zamani bado panaendelea mpaka leo . Be keen usipoteze vyote
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwamba hautoweza kuendana na kasi? Kama jibu ni yes Basi achana nayo tu
Kijana
Jitose kwenye kazi
Fanya kama kutongoza tu[emoji16][emoji16]
Hujui kitakachotokea ila unatongoza
Unaweza pigwa kibao ila we unatongoza
Unaweza ukatukanwa tusi zito ila we unatongoza
Unaweza hata ukachaniwa shati ila wewe UNATONGOZA
Ila pia unaweza ukashangaa slope hii hapa mtoto akakubali hadi ukawa unajiuliza ulikua wapi siku zote hizo[emoji23][emoji23][emoji23]
Natumai utaenda kwenye hio kazi mpya
Hela hazionewi aibu mkuu
Sasa maswali ya nini tena Mkuu, hamna namna tena hapo ni kuyaoga tuNishaingia tayari,nina mwez sasa ila nipo behind tu
Umeshajijua kwamba wewe ni bogus, tafuta kazi za level yakoKuna kujisahau,sometimes kuna kujisahau
Kwenye kazi huwa hatuangalii mshahara tu ,bali tunaangalia mazingira ya kazi. Jinsi wanavyojali wafanyakazi pamoja na kubalance familia na kazi etc. Pia tunaangalia uwezekano wa kukua katika kazi, usiende tu kichwakichwa.
Umeshajijua kwamba wewe ni bogus, tafuta kazi za level yako
Waache wenye akili wasiojisahau wafanye hiyo kazi.
Naunga mkono hoja!Kwenye kazi huwa hatuangalii mshahara tu ,bali tunaangalia mazingira ya kazi. Jinsi wanavyojali wafanyakazi pamoja na kubalance familia na kazi etc. Pia tunaangalia uwezekano wa kukua katika kazi, usiende tu kichwakichwa.
Boss mapungufu kila mtu anayoAnd how about mapungufu yangu