Msaada: Namtafuta Jane

WanaJF, heshima kwenu. Naamini weekend inaenda vizuri.

Nimekuja kwenu na ombi moja. Namtafuta dada anayeitwa Jane. Jina lake la pili nadhani ni Ossoro (Jane Ossoro!).

Mara ya mwisho kupotezana na huyu dada ilikuwa mwaka 2001. Tulionana pale maeneo ya Chuo cha Afya na Tiba Muhimbili, Dar es salaam, aliponitembelea kama shemeji yake kwa mpenzi wake ambaye wakati huo alikuwa amehamia/amesafiri kwenda Marekani na kumuacha Jane Tanzania.

Baada ya hapo hatukuweza kuonana au kuwasiliana tena kutokana na changamoto za kimawasiliano zilizokuwepo kipindi hicho. Point muhimu ni kwamba kati ya mwaka 2000 na 2001 huyu Jane alikuwa akisoma Korogwe Girls, yeye akiwa form 5 au 6. I think alikuwa akisoma mchepuo wa arts.

Bila shaka hapa jukwaani kutakuwa na cohort ya wadada waliopita Korogwe Girls (iliyopo Korogwe, Tanga) between mwaka 1999 na 2002.

Nimejaribu kumtafuta kwa njia nyingine kwa muda mrefu but imeshindikana. Nafikiri njia hii inaweza kunisaidia kuwasiliana na kumjulia hali Jane.

Najua she was kinda heartbroken kutokana na yaliyotokea kati yake na rafiki yangu (boy friend wake), and kwasasa I just really wanna know how she is doing. Alikuwa a great shemeji na rafiki pia. Maisha yana mambo mengi na inabidi yaendelee.

Naomba kama Jane mwenyewe yuko hapa JF au mtu yeyote yule mwenye details zake regarding her whereabouts tafadhali aje PM.

Nitafurahi sana kupata taarifa zozote kuhusu yeye. Natanguliza shukurani kwenu. Blessings!
Huyu ndo Jane unaemtafuta?
Kamcheki Facebook mkuu.
muongozaji
Screenshot_2019-10-27-15-24-30.jpeg
 
Alishaolewa muongozaji. Ana mapacha watatu
 
Mara ya mwisho kupotezana na huyu dada ilikuwa mwaka 2001. Tulionana pale maeneo ya Chuo cha Afya na Tiba Muhimbili, Dar es salaam, aliponitembelea kama shemeji yake kwa mpenzi wake ambaye wakati huo alikuwa amehamia/amesafiri kwenda Marekani na kumuacha Jane Tanzania.

Fursa
 
Back
Top Bottom