huyu jamaa alipotea toja may 15 mwaka jana na tuliachana nae pale mabibo hostel. kifupi jamaa ali graduate mzumbe akaja dar kutafuta job ila akaishiwa pesa akishindwa kuendelea na apllication .ishu ni pale alipoacha vyet vyake vyote tena original copy kuanzia birth cirtificate ,o level,a level na full transcipt ya batchelor
Mhm!namjua mkaka alikua anaitwa frank mushi ila jina lake la katikati ndo clijui,alimalza chuo 2011 nadhani ndo huko mzumbe{cna uhakika sana ila alikua graduate},alifariki kwa ajali ya gari na tumemzka mwaka jana mwezi huo huo unao usema wewe kijijin kwao masama-kilimanjaro.

yupo kariakoo sokon
du pole sana kama alifariki,mungu amlaze pema peponi
[/color]
aisee.
Mhm!namjua mkaka alikua anaitwa frank mushi ila jina lake la katikati ndo clijui,alimalza chuo 2011 nadhani ndo huko mzumbe{cna uhakika sana ila alikua graduate},alifariki kwa ajali ya gari na tumemzka mwaka jana mwezi huo huo unao usema wewe kijijin kwao masama-kilimanjaro.
Mhm!namjua mkaka alikua anaitwa frank mushi ila jina lake la katikati ndo clijui,alimalza chuo 2011 nadhani ndo huko mzumbe{cna uhakika sana ila alikua graduate},alifariki kwa ajali ya gari na tumemzka mwaka jana mwezi huo huo unao usema wewe kijijin kwao masama-kilimanjaro.
Naona umekuja na ID yako nyingine,ndani ya mwezi mmoja ulifungua IDs mbili tofauti.Frank Wilfred Mushi is still missing incase kuna ambaye ana taarifa zake, huyu jamaa ni mtoto wa ndugu yangu, kwao ni moshi maeneo ya kiboriloni njia ya kupanda kolila sec, alikulia kwa bibi yake Sanya Juu, kuzikwa masama na bila ndugu yake yeyote kujua ni wazi kuwa huyu ni Frank mwingine.
Naona umekuja na ID yako nyingine,ndani ya mwezi mmoja ulifungua IDs mbili tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app