Maziwa fresh yasiyochemshwa,yaweke ndan ya chombo cha kigae,mm natumilia jug la kigae,yafunike,na uyawache for two days,alaf funua,maji maji mepes yatakua chin ya jug,mtind utakua unaelea juu,utauchukua mtind wako,utakua tayar,uhifadh ktk fridge,,mm napenda nkishautoa natia ktk bleander natia na vanilla nasaga,then natia ktk fridge