Msaada namna ya kutunza docs mtandaoni

Msaada namna ya kutunza docs mtandaoni

Mimi mbona nikiweka docs zenye jina sawa na zilizomo uwa inauliza izisave kama doc mpya au ireplace za zamani....
Nina vitabu vingi sana softcopy na image zangu sitamani vipotee simu ikipotea ndo mana nataka nivisave permanent.
 
Back
Top Bottom