Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,139
Habari wakuu, naomba kuelekezwa njia nyingine ya kusave documents, picha, vitabu etc ukiachana na Google drive au kwenye email, Google drive nilikuwa naitumia mara kadhaa bt naona kama iko complicated sana now days, ukiattch kitu sometimes kinaload tu mda mwingi bila kujisave.