Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,401
- 5,526
Habari wakuu..
Kuna hii app ya WiFi map, naisikia sana inazungumziwa humu. Hivyo naomba maelezo zaidi ili niweze kutumia
Maana nimejaribu kudownload play store naona chenga tu.
So wale woote wanaotumia hii app msaada unahitajika na kama una link ya kuweza kudwnload naomba uniwekee hapa, Ni jinsi gani inatumika.