Msaada namna ya kutengeneza mtandao wa kijamii

Msaada namna ya kutengeneza mtandao wa kijamii

Hey
Website Kama jamiiforums mf; inatumia VBulletin Software, zippo softwares nyingi tu open source na non Open source.
Open Source ni Kama vile. MyBB, phBB, PunBB, Phorum, Vanilla n.k
Non open source ni Kama vile VBulletin, Xenforo, woltlab IP.Board n.k
Sasa hizo zote Kutumia bila knowledge ya programming ni ngumu, tatizo Watu hupenda kukwepa majukumu. Soma programming or invest kwa Wenye ujuzi.
mkuu ntakuchek pm
 
mtoa mada anafikiri kutengeneza social webisite ni kama kufugua blog

nenda shule ingekua rahisi sote tungalikua nazo

mbali na kua na elimu pia uwe na budget uwe na pesa ya kuwezesha inakua hewani

unafikiri kuwa na watu milion mtandaon kwataka elf kumi

jipange kwanza mkuu usikurupuke
kwani kuuliza ni kukurupuka?? mbona naona wewe ndiye uliye kurupuka?
 
Naombeni mnipe utaalamu na njia za kutengeneza mtandao wa kijamii kama facebook, JF n.k
Nataka nishushe bonge moja la website. Nina idea ila siwaambii, naombeni tuu mnipe steps ili ipatikane katika web na playstore, window store n.k
LOL.. Your Not Serious Dude 🙂 !!
 
Back
Top Bottom