MSAADA NAMNA YA KUTENGENEZA APP AU WEBSITE YA STREAMING ONLINE

MSAADA NAMNA YA KUTENGENEZA APP AU WEBSITE YA STREAMING ONLINE

Msukule Msafi

Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
55
Reaction score
48
Habari wakuu Natumai ni wazima namba kujuzwa namna ya kutengeneza app ambayo itakua na uwezo wa ku stream online na kudownload ...
Nawasilisha
 
Mkuu nimepita huko nimekwama mpaka nimeamua kuja hapa nimeshapitia hatua kote
 
Yaani unataka kuelekezwa hatua kwa hatua jinsi tungeneza complete web?

Labda kama una abc, ila cha umuhimu tafuta links za hizo livestreams.
 
Cha kwanza unatakiwa kupata links za livestream za stesheni husika unaweza kuzipata kwa kutumia IDM ila si links zote.

Kwa website unaweza kutumia html tags zifuatazo au pia unaweza tumia players kama jw.

HTML:
<iframe width="420"height="315"
src="https://www.youtube.com/embed/tgbNymZ7vqY?autoplay=1">
</iframe>
Kwenye youtube unaweza weka links utakazopata, au tumia video tags

HTML:
<video width="320"height="240" controls>
  <sourcesrc="movie.mp4"type="video/mp4">
  <sourcesrc="movie.ogg"type="video/ogg">
  Your browser does not support the video tag.
</video>
Hapo kwenye movie.mp4 weka links utakazopata.

Kwa hiyp unaweza kwa kuibadili html page kuwa android app kwa kutumia WebView class

Au tumia cross framework ya Apache Cordova kubadili web kuwa app ya android, iphone pia desktop software.
Nadhani kidogo utakuwa umenipata.
 
Naomba Abc mkuu na mapendekezo ya language pia
Mkuu, kuna njia nyingi sana za kufanya hivyo ila ni chaguo lako, mfano unaweza kutengeneza kwa kutumia lugha yoyote halafu ukatafuta API za video streaming au tafuta framework nzuri ambayo itakufanyia kazi hiyo, mfano huko nyuma niliwahi kutengeneza streaming app kwa kutumia Laravel na React js, lakini hapa unatakiwa unajua in out za hizi framework
 
Back
Top Bottom