hizo ulizompa ndio znaweza msaidia lakin si kwakias kikubwa sababu nishakutana na s3 na ina music hub.. mi nadhan apge code hii *#0*# hapa inatakiwa imletee button za rang tofaut tofaut katka scrn yako mfano ikiandkwa blue bas ukipress screen ibadrike kuwa ya blue na button nyngne kama za camera, vibration n so on.. nadhan fake znafail kuperfoam code km hii. fdback muhim.
Kuna mtu anataka kuniuzia Samsung Galaxy S3 naomba jinsi ya kuitambua
NJIA RAHISI NA YA KUAMINIKA KWA SAMSUNG ZOTE NI KUPIGA NAMBA *#1234# hapo itatoa habari zote mhimu , isiporespond ujue ni kimeo.