Msaada namna ya kushiriki midahalo ya malumbano ya Hoja ITV

kalooo

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
270
154
Habari wanajamiiforum nisaidieni namna ya kupata nafasi ya kushiriki midahalo ya malumbano ya Hoja Itv live ,ni taratibu zipi zifuatwe .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ITV uwawanatoaga namba zao kama unataka kushiriki kwenye kipindi nawanawesema uwahi kufika kabla ya kipindi kuanza Mara nyingi huwa n kila alhamisi mda SAA tatu nasi usiku,,,,,pia waweza kumcheki Sunday temba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…