Kwa January 2017, siku mwafaka kukutana na mmeo kwa tendo la ndoa na kushika mimba was kati ya tarehe 19 mpk tarehe 21. Kwa February 2017, ingekuwa kati ya tarehe 16 mpk tarehe 19. Na kwa March 2017 siku mwafaka itakuwa kati ya tarehe 15 mpk tarehe 18 mwezi huu. Hakikisha wewe na mwenzi wako mnapata chakula bora, avoid ulevi, avoid stress kwa kipindi chote, avoid sex ya mara kwa mara (yaani unnecessary sex plays kwa kipindi hichi muhimu)na pata usingizi wa kutosha. Kumbuka yai la kike (yaani ovaries) huwa tayari kwa kurutubishwa na mbegu za kiume siku ya 14 kuanzia siku damu imeanza kutoka, yaani siku ilipoingia mwezini kwa lugha ya mtaani!