Wanajf mwezi January nilianza period tarehe 7,February tar 4 na march hii nimeanza leo tarehe 3 naomba msaada ni tarehe zipi naweza kupata mimba maana niko mbali na mume wangu tunataka tupate mtoto nataka aje cku za hatari ili mimba ipatikane.Naomba kuwasilisha.
Haahaaa mimi ni mwanafunzi WA kila kitu..... ila ilo lako duuh.......So mimba juu ya mimba kupandiana tuu adi zifike ngapi.....But i hope its for the Twins

Yep kwa Bongo ni kazi inayodharaulika sana wakat ndio inatoa professors & professionals....... Wakat kwa wenzetu ndio kazi inayolipa na kuheshimika sana....Eg S.Africa
Wanajf mwezi January nilianza period tarehe 7,February tar 4 na march hii nimeanza leo tarehe 3 naomba msaada ni tarehe zipi naweza kupata mimba maana niko mbali na mume wangu tunataka tupate mtoto nataka aje cku za hatari ili mimba ipatikane.Naomba kuwasilisha.
Nimetengeneza android app ipo google play store itakusaidia kutokana na siku ulizoandika mzunguko wako una siku 28, kwenye hiyo app jaza tarehe ya kwanza ya mzunguko wako wa mwisho yan tar 3/4/2017 kisha kwenye urefu wa hedhi weka siku 28 basi itakuonesh ni siku zipi unaweza kupat mimba na zipi huwezi, ina features nyingi kama kukupa notifications siku hiyo ikikaribia. Pia ina lugha ya kiswahili na English
Jamaa aje kuchimba mchanga tarehe 15-17 march hakika atapata madini stahiki, pia muandalie chakula kamili na ashibe vizuri asije kuishia kutoa povu, then ukaja hapa kusema oohh mlinidanganya oohhh sijui nini mara oohh mbona jamaa alikojolea lakini hamna kitu!!