Domo linakuwa zito kwani dada yako huyo
Ninahofia nikimwambia moja kwa moja atanichulia muhuni, kwani unawaombea wewe ao nao pia ma domo zege(wana CHAMATA)?
Ninahofia nikimwambia moja kwa moja atanichulia muhuni, kwani unawaombea wewe ao nao pia ma domo zege(wana CHAMATA)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kukuona muhuni kwasababu ni kitu ambacho kipo kwa wapenzi..ni kawaida
Kwani unakaa kwako ama kwenu?
Hao niliowaita sio madomo zege ndio maana wanaweza kukusaidia
Siku brother akitoka muite mchumba aje..hadi hapo utashindwa kumaliza?
Tatizo sijatunukiwa ghetto mkuu, mi bado KKBUmenifanya, mwite ghetton mwambie njoo tupige story halafu wewe utaona mpo wenyewe ghetton halafu jinsia tofaut hapo katika kutatokea nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni pm nazo mkuu nimuagizie mi si mchoyo, maana chakula kitamu ni cha kuchangiaMpe number zangu mkuu
Domo linakuwa zito kwani dada yako huyo
U domo zege nliutema kitambo, ila sijawa mzoefu kwa mambo yakuomba mechi
Inakuwa tizi pale mlala oi anapokutana na mtoto wakishua
Araf mlala oi nguo zake za ndan ni za waenga na wakati mwingine Kule hapasafishi
Wakubwa wameelewa
Sent using Jamii Forums mobile app