Msaada: Namna ya kumuomba mwanamke tunda

12 Marook

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
441
329
Wakuu kabla yayote niwasalimu kwanza, Habari zenu?

Baada yakusaliti vyama vyangu(CHAPUTA na CHAMATA) na kwa ushauri wenu wana JF, nimefaanikiwa kumrowa mtoto mkali na mpaka sasa tuna miezi miwili katika mahusiano yetu.

Tatizo langu inapofikia swala lakuomba match ya urafiki(mgegedo) domo linakuwa zito zaidi ya lile la Timbulo

Nawaombeni ushauri ili nami nipate kuonja kwenye tunda la Eden


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom