MKUU
Ruttashobolwa kwa heshima yako tu naomba nimsaidie huyu Bwana mdogo kama ambavyo naona wanamuita humu ndani kwamba,kwanza suala la msichana kukupa nafasi ya kumtoa Bikra ni heshima kubwa sana,maana yake ni kwamba amekuheshimu kupitiliza.
Nasema hivyo kwa sababu siyo kwamba wewe labda ndiye umekuwa mtu wa kwanza kumuomba hiyo kitu!,yawezekana kuna wengine waliahidi kutoa hata gari au kujenga nyumba kama wakipewa lakini wametolewa nje na mwisho wa siku ukapewa wewe,kwa hiyo kwanza unapaswa kujiuliza maswali mengi,lakini mwisho unapaswa kuamini kwamba wewe una bahati lakini iliyoambatana na heshima.
Sasa tatizo linapokuja tu ni pale kama wewe uliyepewa hiyo bahati na heshima hutakuwa mtulivu,naamini kwamba huyu Bwana mdogo amepata uoga ndiyo maana anashindwa kuitoa hiyo bikra,tatizo la mashine zetu hizi ukipatwa na uoga hakika huwezi kufanikiwa kufanya shughuli kubwa na nzito kama hiyo,wala hapa tatizo sio huyu mtu wake,tatizo ni yeye na hasa ukijumlisha na huyu mhusika mwenyewe jibu lake unapata kushindwa kabisa.
Harakat amejaribu kuelezea vizuri kidogo kwenye comment yake
#24 akasome hapo vizuri,lakini awe makini kiki ikiwa kali sana anaweza kusababisha mambo mengine mabaya zaidi kwa kuunganisha pande zote mbili,hii kitu inahitaji utalaam kidogo ili kumtengenezea mhusika njia makini na lainiii kwa faida yake ya siku hiyo ya kwanza na ya baadaye lakini sio kumchakaza vibaya zaidi.
Mwisho kama ameshindwa na ninavyoona ndivyo ilivyo awape wataalam kama wakina
Yerriko Nyerere walivyoomba ili wamfanyie hiyo kazi faster na yeye abaki kufaidi urojo.