Msaada: Namna ya kumtoa msichana bikra

Msaada: Namna ya kumtoa msichana bikra

Saskatchewan

Senior Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
148
Reaction score
25
Naombeni msaada wenu wanajamvi. Nina mchumba wangu bikra wakati wa kufanya mapenzi tunapata shida sana. Wakati wa tendo nashindwa kutengeneza njia kwa sababu mpenzi huwa analalamika sana kwa maumi8u makali! Nifanye nini ili mpenzi wangu asipate maumivu makali?
 
ha ha ha jamani nyie watoto mbona sisi hatukuwa hivi jamani. hebu jaribuni kutumia akili yenu sio kila kitu cha kukimbilia mtandaoni kuuliza.ngoja waje wataalam waje wakufundishe akina dada msaidieni mtoto huyu nyie mlipotolewa ilikuwaje kuwaje, wanaume si wote wamewahi kuonja hiyo kitu lol.
 
tumia ky jelly kupaka kwenye uume wako na yy umpake kwenye k yake halafu muweke kwenye angle nzuri na usimuonee huruma hio utapiga one kikki na usilazimishe kumaliza tendo we ukishatoa muache utakuja kumaliza cku nyingine...hii kitu niliaply kwa mdada mmoja mtu mzima so bikra yake ilikua imekomaa sana ..ila kwa wale below 20 hata huna haja ya ky jelly
 
Mmejaribu mara ngapi mkashindwa? Una uhakika bado bikra..??
 
KY jelly ndo mpango mzima...
 
Mungu alipoumba maumbile yetu aliumba na vitu ambavyo vitasaidia katika kufanikisha kila hitaji letu,tatizo hapa ni watu kukurupuka kufanya ngono huku wakiwa hawako tayari kwa tendo lenyewe,mnatakiwa muwe tayari kwa kufanya tendo lenyewe sio mmoja anataka huku mwingine hataki au anaogopa kuumia.
Inaonekana kabisa hauna elimu ya uzazi na malezi kwa ujumla maana haiwezekani ufikie hadi kufanya tendo huku ukiwa hujui nini cha kufanya ili tendo lifanikiwe bila kuwa na matatizo.
Nakuonea huruma maana wanakuambia upake mafuta utatue tatizo hilo kumbe wanakuharibu maana hata ukikutabna na mwanamke ambaye sio bikira inawezekana ukashindwa kumfanya afurahie tendo,cha msingi tafuta waliokuzidi umri wakuelekeze nini cha kufanya.
Utandawazi una raha yake na shida zake,enzi zetu ukitoka jando unajua kila kitu cha kufanya siku hizi vijana hawajui kitu.
 
ha ha ha jamani nyie watoto mbona sisi hatukuwa hivi jamani. hebu jaribuni kutumia akili yenu sio kila kitu cha kukimbilia mtandaoni kuuliza.ngoja waje wataalam waje wakufundishe akina dada msaidieni mtoto huyu nyie mlipotolewa ilikuwaje kuwaje, wanaume si wote wamewahi kuonja hiyo kitu lol.

siku hizi sio kama zamani si unajua kuna mabadiliko makubwa ya teknolojia
 
Mbona maelezo yako yanaonyesha tayari huwa mnafanya mapenzi?

Usitumie vilainishi vyovyote vyakikemia au kibaiolojia, mwandae vema mwandani wako mpaka mwili wake utoe vilainishi wenyewe, nakisha jilie vyako bila mawaaaa!

Ukishndwa mlete kwangu atarudi akiwa fresh nawe utamfurahia nakunshukuru!
 
Mungu alipoumba maumbile yetu aliumba na vitu ambavyo vitasaidia katika kufanikisha kila hitaji letu,tatizo hapa ni watu kukurupuka kufanya ngono huku wakiwa hawako tayari kwa tendo lenyewe,mnatakiwa muwe tayari kwa kufanya tendo lenyewe sio mmoja anataka huku mwingine hataki au anaogopa kuumia.
Inaonekana kabisa hauna elimu ya uzazi na malezi kwa ujumla maana haiwezekani ufikie hadi kufanya tendo huku ukiwa hujui nini cha kufanya ili tendo lifanikiwe bila kuwa na matatizo.
Nakuonea huruma maana wanakuambia upake mafuta utatue tatizo hilo kumbe wanakuharibu maana hata ukikutabna na mwanamke ambaye sio bikira inawezekana ukashindwa kumfanya afurahie tendo,cha msingi tafuta waliokuzidi umri wakuelekeze nini cha kufanya.
Utandawazi una raha yake na shida zake,enzi zetu ukitoka jando unajua kila kitu cha kufanya siku hizi vijana hawajui kitu.

mm na yy tupo tayari kabisa wala hakuna swala la kulazimishana
 
Back
Top Bottom