MSAADA:Namna ya kugundua Sony Digital camera fake.

MSAADA:Namna ya kugundua Sony Digital camera fake.

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
3,605
Reaction score
552
Niko katika mchakato wa manunuzi ya digital camera, aina ya Sony Cybershot.
Lengo likiwa ni kupata bidhaa halisi(Original).

Kutokana na kuwepo bidhaa fake za electronics, Napata shida sana kufanya maamuzi.

*Wataalam na watundu wa mambo naombeni maujanja ya kujua bidhaa halisi.
 
Epuka zile zinazotumia betri za kawaida za dukani, yaani AA.
Original zina betri zake special rechargeable
 
Back
Top Bottom