xavihernandezalcantara
Senior Member
- Nov 17, 2020
- 124
- 132
Ndugu poleni na majukumu,
Naombeni msaada namna ya kufuta Account ya Instagram isionekane tena. Msaada kwa anaefahamu. Ni hayo tu.
#Forgive Me