Wakuu salaam,
Mie mgeni bwana kwenye hizi mambo,sasa nimefungua blog ya google nikabadikisha theme nikaweka zile zinazosupport ads[zile za bure] ila imekuja na maneno ya kifaransa nashindwa kuyatoa.
Naambatanisha picha yake kwa chini hapa wadau
Ni hayo hapo baada ya maneno "welcome to our website" au kwa kifupi hicho kibox kizima hapo kilichocontain hayo maneno sijakiweka mie,na nataka nikitoe/badilishe
Asanteni.
Sio kifaransa hiyo ni Lorem Ipsum hii ni nonsense text inatumika kama sample aka place holder. Login katika blog yako nenda kwenye posts nadhani utazikuta huko na kuweza kuziedit.