Msaada namna ya kublock line ya vodacom

Msaada namna ya kublock line ya vodacom

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,267
Reaction score
13,414
Kwa yeyote anayejua code za kuiblock lain ya voda ili isipatkane kwa mda
 
Kwa yeyote anayejua code za kuiblock lain ya voda ili isipatkane kwa mda



Katika hali ya kawaida kutaka lime isipatikane ni kuzima simu yako. Sasa kama una maana ya kutaka watu wasiweze kukupigia lakini bado uendelee kuwa online, unachoweza kufanya ni ku divert hiyo line kwenda kwenye wrong number, mfano fanya divertion kwenda numher 0000, hapo kila atakayekupigia atajibiwa namba anayopiga sio sahihi
 
Back
Top Bottom