Mkuu mpaka kufikia sasa nishaenda kwa mafunzldi karibia 10, na kila mmoja anasema hawezi.Huwezi kureset hiyo bios kikubwa hapo mpaka upate mtaalamu ambaye atakua na programmer device ambayo atatumia kuflash eprom ya hiyo laptop kwa rom nyingine ambayo haina password hapo utakua umetatua hilo tatizo sio jambo unaloweza kufanya mwenyewe tafuta mafundi wa laptop utapata msaada
Ondoa CMOS battery kwa muda fulani au jaribu kui short motherboardHabari za mda wadau wa jf.
Ndugu zangu mwaka jana nilinunua laptop aina ya dell latitude 3410 hapa kipindi nainunua niliikuta ikiwa na setup ambayo inaiwezesha kuwasha kwa kukunjua tu ile screen yake. Ni kwamba huwezi kuwasha wala kuzima kwa kutumia power button.
Kwa mda mrefu nilikuwa nikiitumia hivo hivo ila nimeona kuna usumbufu unajitokeza kadri siku zinavyokwenda.
Hivyo nikaamua kuangalia namna ya kubadilisha hiyo setup, nilikuja kuona ili kubadilisha inahitajika kuwa na BIOS password lakini mimi sina hiyo password.
Kwa anaefaham naomba kujua kama kuna namna naweza kuresert hiyo password na pia kama kuna njia nyingine ya kuweza kubadili setup ya laptop ili niweze kuwasha na kuzima kwa kutimia power button.
Kama ni window nishapiga tena window 11.Wazee wa kupiga windoo
Bado hauja solve? Ulijaribu kuchomoa CMOS battery au kuipiga short?Kama ni wondow nishapiga tena window 11.
Hayo mambo yanayohusisha hardware sijayafanya maana mie sio fundi,Bado hauja solve? Ulijaribu kuchomoa CMOS battery au kuipiga short?
Solution ipo hapo, sababu ukiipiga shot au ukichomoa CMOS batter itapelekea system kusahau kila kitu na hivyo utalazimika kufanya configurations upya, ila uzuri sasa hivi devices nyingi ni PnPHayo mambo yanayohusisha hardware sijayafanya maana mie sio fundi,
Ila kula fundi ananikataa huku mtaani kwetu.
Umejaribu kuacha password blank halafu uka press enter?Habari za mda wadau wa jf.
Ndugu zangu mwaka jana nilinunua laptop aina ya dell latitude 3410 hapa kipindi nainunua niliikuta ikiwa na setup ambayo inaiwezesha kuwasha kwa kukunjua tu ile screen yake. Ni kwamba huwezi kuwasha wala kuzima kwa kutumia power button.
Kwa mda mrefu nilikuwa nikiitumia hivo hivo ila nimeona kuna usumbufu unajitokeza kadri siku zinavyokwenda.
Hivyo nikaamua kuangalia namna ya kubadilisha hiyo setup, nilikuja kuona ili kubadilisha inahitajika kuwa na BIOS password lakini mimi sina hiyo password.
Kwa anaefaham naomba kujua kama kuna namna naweza kuresert hiyo password na pia kama kuna njia nyingine ya kuweza kubadili setup ya laptop ili niweze kuwasha na kuzima kwa kutimia power button.
Hii nilishaijaribu ila sikufanikiwa.Umejaribu kuacha password blank halafu uka press enter?
Kuna hii site unagenerate password kwa kutumia serial no jaribu
Typing error zisikuzuie kutoa msaada wa kimawazo.Aisee
Utakuwa ni mtaalamu wondow
Shukran sana kwa mawazo, kazi imeisha.Huwezi kureset hiyo bios kikubwa hapo mpaka upate mtaalamu ambaye atakua na programmer device ambayo atatumia kuflash eprom ya hiyo laptop kwa rom nyingine ambayo haina password hapo utakua umetatua hilo tatizo sio jambo unaloweza kufanya mwenyewe tafuta mafundi wa laptop utapata msaada