Baada ya post zipi mkuu, au zile walizo apply taar?
Wakuu habarini? Naombeni msaada kwa mwenye kujua namna ya kujaza combination na kuchagua shule upya kwa waliomaliza form four last year 2018 kama alivyotangaza Waziri Jaffo.
Vipi ulifanikiwa kutatua hii shida, maana mi mwenye kuna dogo kaja ni msaadie ila nimekutana na hili tatizo na sijui namna ya kufanya na ukizingatia deadline ni 15 /4/2019Jamani msaada wenu kuna mdogo wangu akijaribu kuregister mfumo unamwandikia huu ujumbe" You are already registered! Please, use the login page to enter into your account " ambapo yeye bado hajajiregister bado,msaada wenu Wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukiona hazifunguki ujue huna sifa ya fani husika.... Angalia sehemu ya "Eligibility " kujua sehemu unto qualifyKwenye technical college, courses hazifunguki. Nini tatizo, msaada wanakwetu
SUKAH...
Kuna vijana nlikuwa nawajazia, wana vi D na vi C, nkajua wametusua bhana.Mkuu ukiona hazifunguki ujue huna sifa ya fani husika.... Angalia sehemu ya "Eligibility " kujua sehemu unto qualify