Maisha yanaanza pale unapojua upo hapa duniani kwa ajili ya kutimiza kusudi.
Ni kusudi lililowekwa na Mungu maana ndiye aliyetuumba ili tulitekeleze.
Njia pekee ya kung'amua uishije kwa mujibu wa kusudi ni kumuuliza Mungu mwenyewe au kupitia mwongozo wa neno la Mungu.
Bahati mbaya wanadamu tunaishi kwa kuongozwa na tamaa zetu.
Mkuu kama unataka kukomboa wakati, nguvu na kutoangamia kwa kukosa maarifa don't let human beings judge your life kama unavyofanya hapa but God.