Simba kama imewabana waandishi wa habari za michezo
Habari wakuu,
Tumeshuhudia club ya simba sio tu kuwasajili wachezaji, maana kuongeza usajili Tayari ila hakuna ushahidi wa picha.
Sasa waandishi wamekuwa wakibahatisha nani atafuata maana imekuwa ni utaratibu wa simba kila siku SAA saba mchana kutambulisha mchezaji anayeongeza mkataba, Leo mwandishi mmoja naona kapost Mohammed Hussein lakini baadae kuja kutolewa na Simba tunamuona meddie kagere,
Hivyo naona kama waandishi wamebaniwa na usajili wa simba unekuwa wa siri sana.