Usitegemee uione katika muda mchache,kutokana na maelezo yako inaonyesha huna ufahamu wa SEO(Search Engine Optimization) tafuta notice online za hii topic na utapata maelezo ni jinsi gani unaweza ifanya blog yako walau ionekane.
Vitu vya muhimu kujua,blog yako inahusika na mambo gani/inahusika na mambo ya aina gani?Then unatakiwa ujue "keywords" ambazo wewe utataka watu wakiandika kwenye seach engine(google,yahoo,etc) waletwe kwenye blog yako.Kuna mambo mengi yanachangia katika kuiwezesha web au blog ipatikane kwenye google kwa haraka.
Kama inahusu mboga za majani keywords zinawerza kuwa "mchicha,sukumaweek,matembele etc".
Kuna mambo mengi ya kuzingatia na si keywords peke yake ,hata technologia unayotumia kutengeneza hiyo blog yako,ikiwa ni latest technolgy uwezekano unakuwa mkubwa kuliko iliyopitwa na muda.
Namba of keywords per page,zikiwa nyingi sana inakula kwako,so SEO ni kasomo kameshiba.Tafuta notice soma,I am sure you will get something useful.