Msaada: Namna nzuri ya kutunza siri

Msaada: Namna nzuri ya kutunza siri

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,315
Reaction score
8,748
Natumai mu vyema wakuu!

Husika na heading hapo juu ni Jinsi Gani mtu unaeza ukajicontrol usiwe [HASHTAG]#Talkative[/HASHTAG] saana maana hiyo inachangia adi kusema mengine ambayo hukutaka kuyasema na baada ya hapo unaeza jikuta uko uncomfortable kwa kusema kitu usichokuwa umepangilia kusema!

Tusaidiane maana nami nipo ivo so nataka nijirekebishe mapema maana naona huu ndo wakati mwafaka sababu nimeanza kuaminiwa na wengi!

Naamini pia kuna wengine kama mimi wenye shida kama huenda wakasaidika na huu uzi

wazungu wanasema IF YOU ARE GOOD SECRET KEEPER THEN WAIT TO COUNT YOUR BLESSINGS!
 
Natumai mu vyema wakuu!

Husika na heading hapo juu ni Jinsi Gani mtu unaeza ukajicontrol usiwe [HASHTAG]#Talkative[/HASHTAG] saana maana hiyo inachangia adi kusema mengine ambayo hukutaka kuyasema na baada ya hapo unaeza jikuta uko uncomfortable kwa kusema kitu usichokuwa umepangilia kusema!

Tusaidiane maana nami nipo ivo so nataka nihirekebishe mapema maana naona huu ndo wakati mwafaka sababu nimeanza kuaminiwa na wengi!

Naamini pia kuna wengine kama mimi wenye shida kama huenda wakasaidika na huu uzi

wazungu wanasema IF YOU ARE GOOD SECRET KEEPER THEN WAIT TO COUNT YOUR BLESSINGS!
Dah niko hapa mtunza siri, ukiambiwa jambo mezea na jifanye ni lako huwezi kulitoa kwa mtu yeyote
 
Good Sindikizia Na Hii Zaburi 141;3 Ukiongea Sana Badae Una Halibu Na Bora Hata Kama Unatoa Habari Na Ukitaka Kutoa Mfano Toa Wa Kwenye Vitabu Vya Dini ,move, Ila Ucje Lopoka Et Flan Ni Hvi Na Hivi ,,,MUWE WASIKILIZAJI ILA SI WASEMAJI SANA
 
Themason nakukubali unajitahidi sana kujifunza hekima kuna bandiko lako la kuomba ushauri wa kuhitaji mtoto..anyway nilichogundua MUNGU ana nia njema sana na wewe.nitakushirikisha kitu hivi karibuni
 
amina sana kakaa
 
Amina sana Mkuu Nashukuru kwa Maono yako Makubwa!
 
Checklist Ya Utunzaji Wa Siri
1. Hakikisha Una Siri Yako.
2. Nenda Kwa Wakala Au Benki.
3. Ingiza Siri Katika Account Yako Ya Simu Au Benki.
4. Tengeneza NenoSiri Ulijualo Wewe Pekeako.
5. Baada Ya Hapo Ukitaka Kutoa Siri Yako Utabonyeza Namba Husika Na Kuingiza Neno Siri Lako,Kisha Utagawa Siri Yako Upendavyo.
 
Unaweza kuanza kwa kusahau ulichoambiwa, kuyaacha mambo yote mikononi mwa wengine na ukikomaa sana unakuwa kila uambiwalo unalificha kama kaburi lifunikavyo maiti.
 
Sawa......
 
Back
Top Bottom