Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Kukaa kimya ni jibu pia
Fanya mambo yako tu
Fanya mambo yako tu
hakika mkuuFact sana tena pia unaeza ku loose respect ukiwa talkative!
Hahahahaaa upo kama mimi sema nimependa iyo MAN IN MISSIONMimi pia kuna kipindi nilikua talkative sana, yaani nilikua siwezi kukaa kimya muda mrefu, tema hasa ukikuta nimekusanya kikundi nadraw attention naweza simulia story mpaka wakasahau wanachotakiwa kufanya, ila hii mbaya pale watu watakapokuhoji vitu vinavyokuhusu, niliapply njia zifuatazo kuondoa hilo tatizo;
1.kutokuwa msemaji wa tukio fulani
2.kutokuonesha kila mtu msimamo wangu juu ya jambo fulani
3.kuwa " a man in mission" yaani nikienda mahali nakuwa niko specific kwa kile nilichofuata.
4.nikikuta wanacheka na mimi nacheka bila kuchangia wakisikiliza na mimi nasikiliza tu
Basi kama ukoo wenu kuna mtu alishawahi kuwa maskini na wewe pia utakuwa maskini sioMkuu.
95% HII TABIA INAFATA UKOO.
Kama ktk UKOO wenu Yupo/alikuwepo.Mwenye tabia ya
MWONGO
FITNA
KIHEREHERE
MFEDHULI
HAPITWI JAMBO
UMBEA
CHAKUBIMBI
BASI UTAKUA UMERITHI.
YAANI HATA UKAOMBE TIBA/USHAURI KWA DAKTARI BINGWA HAITOSAIDIA..
Wahenga Walishamaliza
"MTOTO WA PANYA HAKOSI,,,,!!!!
Umaskini sio Tabia..Mkuu umeomba USHAURI wakutunza siri..Basi kama ukoo wenu kuna mtu alishawahi kuwa maskini na wewe pia utakuwa maskini sio