Nenda hospital upima mfumo wa mkojo na pia upate ushauri wa physiology.
Ni vyema kukojoa na kuepuka unywaji wa vitu vya majimaji wakati wa usiku au kabla ya kulala.
Home remedy: chukua ndevu za mahindi uchemshe kama kiasi cha fumba/ kiganja kimoja kwenye maji ya lita moja utumie mara tatu au mbili kwa siku.
Kwa msaada zaidi wawea kuniuliza zaidi.