Hapo mambo ya majini tafuta dawa itakusaidiaHabari z muda kaka na dada zangu wote wa humu jukwaani. Wakuu nimekuja na shida mficha uchi hazai hata kidogo.
Mimi ni mtu mzima 27 yrs nimeoa na mtoto hadi leo bado nakojoa kitandani inauma sana, mke wangu ananivumilia na kunipa moyo sana.
Nikikojoa huwa naota ndoto nzito halafu kwemye ndoto najiuliza kama naota au live, kisha najiridhisha ndotoni kwamba hapa sioti halafu nakojoa mkojo karibia kuumaliza wote kitandani bila kushtuka.
Lakini HII HALI HUNITOKEA MARA MOJA MOJA PENGINE NAKAA MIEZI SITA,AU MITATU NDO HUTOKEA MARA MOJA.
Inaninyima raha sana mimi nikienda ugenini siwi huru, naweza nikakataa kunywa maji saa 10 jioni ili nikwepe fedheha.
Natamani kuvaa condom nikienda ugenini ili nikikojoa mkojo usifike kwenye godoro.
WAKUU NAOMBENI MSAADA WENU TAFADHALI, NAZIDI KUWA MKUBWA SITAKI AIBU KABISA
Kuna tiba niliwahi iskia enzi hizo ila sharti anayetibiwa asiijue maana akiijua siyo tiba tena.Habari z muda kaka na dada zangu wote wa humu jukwaani. Wakuu nimekuja na shida mficha uchi hazai hata kidogo.
Mimi ni mtu mzima 27 yrs nimeoa na mtoto hadi leo bado nakojoa kitandani inauma sana, mke wangu ananivumilia na kunipa moyo sana.
Nikikojoa huwa naota ndoto nzito halafu kwemye ndoto najiuliza kama naota au live, kisha najiridhisha ndotoni kwamba hapa sioti halafu nakojoa mkojo karibia kuumaliza wote kitandani bila kushtuka.
Lakini HII HALI HUNITOKEA MARA MOJA MOJA PENGINE NAKAA MIEZI SITA,AU MITATU NDO HUTOKEA MARA MOJA.
Inaninyima raha sana mimi nikienda ugenini siwi huru, naweza nikakataa kunywa maji saa 10 jioni ili nikwepe fedheha.
Natamani kuvaa condom nikienda ugenini ili nikikojoa mkojo usifike kwenye godoro.
WAKUU NAOMBENI MSAADA WENU TAFADHALI, NAZIDI KUWA MKUBWA SITAKI AIBU KABISA
Ni kweli kabisa. Aende kumtafuta daktari bingwa wa mfumo/njia ya mkojo (UROLOGIST) atamsaidia sana.Utakuwa na matatizo fulani kwenye mishipa ya ubongo wako kwenye kusambaza taarifa mbalimbali kwenye mwili wako ,nenda hospital daktari anaweza kukusaidia hiyo sio hali ya kawaida.
Asante, atakuwa ameelewa.Muelekeze Afanye hivi kwa hiyo miguu ya ng'ombe: Achome kwa moto hilo kanyagio(Asichemshe) halafu abandue kwato kwa uangalifu. Ndani ya hizo kwato zilizobandulia kuna kitu kama aina ya mnofu rangi ya kijivu. Hicho ndio dawa. Unakula unapoenda kulala kila siku kwa muda wa siku tatu. Asante.
MmxyiiiiiPole mkuu,
Toa ofa yako tukupe dawa.
Sijamaanisha vibaya mkuuSawa mkuu ila halijakupta
Chukua hii dawa mkuuFanya Hivi tafuta mahindi yaliyotoa ndevu chukua zile ndevu weka kwenye maji yawe ya yaliopoa au ya uvuguvugu baada ya hapo kunywa siku mbili au Tatu then uje unishukuru 0654467798