Cheki historia ya King Mwanga II wa Buganda halafu soma hii article If you say being gay is not African, you don’t know your history | Bisi Alimi. Bahati mbaya sijapata link ya article niliyosoma kuhusa war captives wa kiafrika ambao waliokuwa wakichukuliwa kama watumwa na kufanwa wake za wanaume wenzao. Nikipata nitakurudia.