Mkuu, hawa oxford wapo pale Mikocheni. Nadhani ni ule mtaa wa Barabara ya kwenda kwa Lwakatare. Kuna bango lao Barabarani. Ukienda pale utapata Muongozo. Kuna siku nlienda nikakuta wana vitabu kibao kama sample. Wacheck au uende pale. Si mbali toka barabarani. Kama mita mia tu
P.O. Box 5299
Mikocheni "B"
Dar-es salaam
Tanzania
255
Telephone: 2781403/4