gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,683
Wana bodi,
Polen kwa majukumu ya kujenga taifa.
Ninahitaj vitabu vya chemistry, Physics na Biology vya mtaala wa Zanzibar vilivyochapwa na oxford. madarasa ya kidato cha 1&2 na 3&4. Vinaitwa Chemistry book for zanzibar schools form 1&2 na 3&4 mpiga chapa ni oxford Kwa mtu yeyote aliyeko Zanzibar ama bara ambaye anajua wapi naweza kuvipata anitaarifu.
Nitahitaj kopi kama 20 au 30 kwa ajili ya shule kwa kila somo. sehem nilizopita kuvitafuta msijavipata.
Mods naombeni mnisaidie watu wengi wauone huu uzi. vinahitajika kwa haraka sana