Msaada nahitaji unga wa ndizi ..

magicdavie

Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
57
Reaction score
68
Msaada nahitaji unga wa ndizi au kampuni inayotengeneza (plantain flour )
 
Ila kama uko siriasi naweza kukutafutia maana kwa muda huu kiangazi wanaweza kukuandalia ndani ya siku unaweza kupatikana

Maana huwa nikiwa kijijini huwa wanauza kabisa ila wanakuwa hawaja usaga
Tatizo ..nahitaji uliokuwa kwenye package nzuri !!/kutoka kwenye kampuni fulani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…