Msaada, nahitaji soko la viazi lishe

Msaada, nahitaji soko la viazi lishe

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,379
Reaction score
2,051
Habari wanajamvi, Nina karibia kuvuna viazi vya njano ( viazi lishe) naombeni Mwenye connection ya soko na bei ya sokoni Kwa gunia au ndoo

0714547830
 
Habari wanajamvi, Nina karibia kuvuna viazi vya njano ( viazi lishe) naombeni Mwenye connection ya soko na bei ya sokoni Kwa gunia au ndoo

0714547830
umevuna tayari mie natafuta mbegu ya viazi. umelimia wapi mkuu
 
Back
Top Bottom