mkuu Misa PM ya nini?tuwekeee hapa tuone.mi pia naihitaji.
Nunua Epson Ninayo natumia full HD 1080 huhitaji kuzima taa unatumia kawaida tu ni nzuri sana au nunua BenQ 521 full HD window 8 nayo unatumia bila kuzima taa
Nunua Epson Ninayo natumia full HD 1080 huhitaji kuzima taa unatumia kawaida tu ni nzuri sana au nunua BenQ 521 full HD window 8 nayo unatumia bila kuzima taa
Mkuu ulishapata? namimi nahitaji epson au hata yoyote nzuri ni ipi?bei yake na mahali pa kununua mkuuwakuu heshima kwenu, nahitaji kununua projector kwa shughuli mbambali za kuongeza kipato pia ushauri wa aina ipi ya kudumu na uimara wa stand zake nawasilisha......
Naomba nisaidie muongozo wa bei ikiwa mpya tafadhali
Mimi nina Epson Eb S18 mkuu pia nina BenQ 521 window 8 lakini Epson naikubali kwa bongo sijui mimi nilinunua Dubai kama laki 8 hivi za Bongo tazama hizo Baadhi ya picha zake hapo,hapo nimepiga wakati taa inawaka Sijazima taa,
Mkuu ulishapata? namimi nahitaji epson au hata yoyote nzuri ni ipi?bei yake na mahali pa kununua mkuu
mkuu Misa PM ya nini?tuwekeee hapa tuone.mi pia naihitaji.
wakuu heshima kwenu, nahitaji kununua projector kwa shughuli mbambali za kuongeza kipato pia ushauri wa aina ipi ya kudumu na uimara wa stand zake nawasilisha......