Msaada: Nahitaji passport ya kusafiria

Aisee uligharamika sana
 
Hizo 20 za form ni lugha tu hakunaga kulipia form wala mwanasheria😀😀😀 kama una details zote zinazohitajika ukaambatanisha hiyo hela hutoi, unalipia elfu 20 tu kwa uhamiaji wilaya, alafu laki na 30 uhamiaji mkoa bila kutoa pesa yoote hiyo dah! Hapo ungefanya mwenyewe ungepata experience nzuri kiasi kwamba hata watu wako wa karibu wakihitaji unawasaidia bila gharama za vishoka, ukatoa pesa ukapata passport ila sasa hata hujui process zikoje! Watanzania tuwege na uthubutu wa kutamani kujua mambo
 
Andaa vielelezo vyote, barua ya huko ulipopata kazi. Ukiwa na huo uthibitisho wa barua siku 3 ni nyingi kupata passport.
Mimi nilipata mapema pia sababu ya shule
 
Sijawahi honga hela kupata passports
Hapo ni ya zamani na mpya ya electronics.
Hiyo mpya hata sijawahi safiria nimeichukua tu baada ya za zamani kubadilishwa.
kama ni mtu wa kujielewa passport unatakiwa uwe nayo sio ya kuitafuta ukipata safari
 

Attachments

  • 20250412_031518.jpg
    1 MB · Views: 41
Sijawahi honga hela kupata passports
Hapo ni ya zamani na mpya ya electronics.
Hiyo mpya hata sijawahi safiria nimeichukua tu baada ya za zamani kubadilishwa.
kama ni mtu wa kujielewa passport unatakiwa uwe nayo sio ya kuitafuta ukipata safari
Chukua hiyooo


Ova
 

Attachments

  • Screenshot_20250421_031110_Gallery.jpg
    193.8 KB · Views: 33
Watu kutojielewa
Kuto kujuwa haki yako ya msingi
Na uwoga

Ova
Watz wengi hawana uthubutu hasa kwenye mambo ambayo wanaona hizi vyombo vya ulinzi wameshika dah waoga mnoo wanatembeleaga tu zile rumours ambazo pia hazitoki kwa watu sahihi wanaziishi rumours tu.
 
Wakuu kwema ? Asanteni kwa mlionipa Muongozo nilipata passport kwa gharama halali kabisa 150,000/=
Mkuu kwema?
Nimeona na wewe ulifanyia mchakato Moshi. Passport uliipata baada ya mda gani au ulitumia maarifa yapi kuharakisha mchakato?

Immigration Moshi siwaelewi kabisa, nilimaliza kila kitu (picha + fingerprint) toka mwezi wa 6 ila hadi leo passport yangu haijatoka na nina safari tarehe 18.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…