Msaada: Nahitaji mtu wa kujitolea kunifundisha kuendesha gari

Intersection

Member
Nov 9, 2019
40
33
Wakuu nipo Arusha, nimemaliza chuo hivi karibuni.

Post nyingi za fani niliyosomea zinanitaka niwe na driving licence. Naomba mtu wa kunisaidia walau kunifundisha kuendesha gari halafu leseni nitafuatilia mwenyewe.

Nahitaji msaada wenu wakuu juu ya hili.
 
Wakuu nipo Arusha nimemaliza chuo ivi karibuni post nyingi za fani niliyosomea zinanitaka niwe na driving licence naomba mtu wa kunisaidia walau kunifundisha kudrive gari halafu leseni ntafatilia mwenyewe. nahitaji msaada wenu wakuu juu ya hili
Kwanin usipitie Veta... Ili wakupatie na Certificate ya driving, nadhan ata leseni watakupa msaada mzuri wa kuipata
 
Au kama kuna mtu anaweza kunilipa driving kwa jioni nkishatoka kibaruani naingia tunaweza weka makubaliano kila mwezi ntamlipa kiasi kidogo dogo mpaka hela yake aliyotumia kwa driving and licence itimie
 
Back
Top Bottom