Msaada: Nahitaji mtoto

Pole sana dada wasiliana nasi kwa namba 0653299934 tutamsaidia tuna dawa za asili toka thailand zilizotengenezwa kwa samaki na mimea mbalimbali inawasadia sana watu wenye matatizo ya nguvu za kiume hasa wenye kisukari pia inaongeza wingi wa shahawa sana na kutibu na kusafisha figo...kama upo dar pia waweza tembelea kituo chetu..
 
Hivi angekuwa mkeo akachepuka ingekuwa poa
Usichepuke, sasa km mumeo hana uwezo wa kukutia mimba then ukachepuka na kupata mimba unadhan atakubali??

Jitahidini muwaone wataalam wa kutibu kisukari, kwa uwezo wa Mungu mumeo atapona na mimba itaingia tu,
 
Kwa kweli kuacha pombe ni ngum sana na simlaum kwa hilo,ila naamini mungu ni mweza atatupatia kwa wema wake
 
Nahitaji msaada wenu ndugu zanguni, mume wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukura ya pata miaka 2 sasa, na tunahitaji mtoto ila imekuwa ni shida kupata ujauzito kutokana na hiyo hali yake,imefikia mhali mpaka manii hazitoki kabisa nisaidieni jamani.nawakilisha hili nahitaji mchango wenu.
pole, ila ugonjwa wa mumeo sijauelewa bado!
 
Nkuru,ana kisukari, alikuwa ana kunywa pombe!kwa hiyo imefikia mahali hata tukifanya hayatoki manii kabisa.
 
Tumejaribu kwenda kwa doctor na amepewa dawa ila sioni kama zinasidiwa

Manii hazitoki au hasimamishi kbs??

Kama mkiamua kujipanga kbs, hiyo njia ya kupandikiza mpk milioni 2 mnafanyiwa,

Au kama amamji imeanza kutoweka ndani kisa mtoto,
Nendeni kwenye vituo vya kulea watoto yatima, mkaasili mtoto wa umri muutakao,
Nae pia ataleta faraja kwenu.

Gudluck.
 
Nimwombe ruhusa kivipi mi nahitaji mbegu ya mume wangu c ya mtu mwingine, kabanga naomba uelewe hilo ingekuwa ni kupata kwa mtu mwingine siku mingi nengekuwa nae tena siyo mmoja,
 
Nimwombe ruhusa kivipi mi nahitaji mbegu ya mume wangu c ya mtu mwingine, kabanga naomba uelewe hilo ingekuwa ni kupata kwa mtu mwingine siku mingi nengekuwa nae tena siyo mmoja,
Hivi nguvu za kiume anazo huyo mumeo?? Kisukari kinaua nguvu za kiume kabisa!!!
 
Fanya hivi tengeneza juice ya kitunguu swaumu kila siku asubuhi na mchana mpatie anywe kwa week tatu alafu uje kutupa mrejesho pia Endeleza na maombi
 
Mukumeti Asante kwa ushauri wako ntaufanyia kazi unaonekana kama ni ushauri mzuri kwangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom