Habari za jioni wakuu,
Ninahitaji mtaalamu aliebobea katika kuchoma ndafu,awe anapatikana hapahapa dar es salaam,
Ninamuhitaji kwa kazi ya kuchoma ndafu kwa siku moja,kwa yeyote mwenye mawasiliano ya mchomaji mzuri tafadhali anitumie namba yake ya simu niweze kuwasiliana nae.
Shukrani wadau.