Bado utakua unahitaji mayai ndugu?Habari waungwana..
Kama heading inavyojieleza.
Ninahitaji mtu wa kuweza kunipatia mayai ya kuku kuanzia tray 30 ambazo ni mahitaji ya siku moja na kuendelea. Nipo tiyari kuchukua kiasi kikubwa chochote kitakachopatikana kadri ya maelewano yetu.
Only serious suppliers tuwasiliane!!
Hats mm nahitajiBado utakua unahitaji mayai ndugu?
Check inbox kwako tuchonge vizuri nduguHats mm nahitaji
Weka BeiHabari waungwana..
Kama heading inavyojieleza.
Ninahitaji mtu wa kuweza kunipatia mayai ya kuku kuanzia tray 30 ambazo ni mahitaji ya siku moja na kuendelea. Nipo tiyari kuchukua kiasi kikubwa chochote kitakachopatikana kadri ya maelewano yetu.
Only serious suppliers tuwasiliane!!
6000Weka Bei
Naomba contact zao japo mmojaNenda Kibaha utapata mayai ya kumwaga!
Nipm number mama mkwe wangu anayo ya kutosha ushindwe wewe tuNow nanunua hata 6600
Tatizo ni bei ndo watu wanapishana tatizo sio idadi ya trays!Duhh,aisee
Hii inaonyesha kwamba watu ni walalmikaji saana na sio wabunifu
Jamaa anataka Mayai Idadi kubwa yaani hakuna supplier wa uhakika kila mmoja anajiuma uma.
Na hii inaonyesha hata wafugaji nao sio makini pia kwenye suala la Masoko.
Fursa hiyoo,wakiwekeza wachina tunapiga zogoo eeee
Alaa kumbe jamaa anataka kwa 4000,duuTatizo ni bei ndo watu wanapishana tatizo sio idadi ya trays!