Msaada : Nahitaji maiki na logo box

Msaada : Nahitaji maiki na logo box

Joined
Jul 13, 2019
Posts
20
Reaction score
4
Habari wanajukwaa kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo juu, nimefungua youtube channel ivo nahitaji kuitangaza brand yangu kwa kutumia maiki na kuiwekea logo naomba msaada jinsi ya kupata maiki na box logo.

Nipata maeneo gani na gharama yake.

Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka mic nzuri ni za kuagizishia online budget yako ni kiasi gani?

Logo unaweza kutumia powerpoint tu kutengeneza unataka logo ya aina gani?
 
Habari wanajukwaa kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo juu, nimefungua youtube channel ivo nahitaji kuitangaza brand yangu kwa kutumia maiki na kuiwekea logo naomba msaada jinsi ya kupata maiki na box logo.

Nipata maeneo gani na gharama yake.

Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
what do you mean by "box logo" mkuu?
 
what do you mean by "box logo" mkuu?
Inaitwa logo box nafikiri nimechapia
download%20(1).jpeg
download.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom