karibu sana, kwanza, kazi ya sanaa inaanza na kuhudhuria auditions, yani
mtengeneza muvi (producer? huandaa audition kupata watu wa kucheza kazi yake
kuna kupata hiyp nafasi ama kukosa, ila faida ni kuwa kadri uhudhuriavyo auditions ndio unatengeneza connection na wasanii wezako, hivyo kufahamu jinsi ya kupata kazi n. k
kesho kuna audition ili kupata wacheza tamthilia sehemu inaitwa davis corner, huko tandika kuanzia saa tatu asubuhi, fika kwenye audition hiyo, utafanya audition na kukutana na wasanii wengine
fika davis kona tandika kesho januari 6, kuanzia saa tatu asubuhi, mimi pia nitakuwepo
nicheki kwa namba 0742 938 055