Msaada nahitaji kununua gari

Msaada nahitaji kununua gari

Masegense

Senior Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
172
Reaction score
302
Wakuu katika miangaiko yangu nimejichangachanga hapa nimepata Mil 8 nahitaji kununua ndinga kwa mtu anayeuza tuwasiliane. Vigezo gari iwe katika hali nzuri, ambayo iko chini ya km 100,000 na ambayo haijawahi kupata ajari. Napendelea toyota allion, Allex au Runx
 
He he hee...yaani una millioni 8 lakini masharti kibao eti gari iwe chini ya km 100,000 😂 😂

Kwa nini usijitahidi kuongezea millioni 3 nyingine ukaagiza gari toka Japan?
 
Back
Top Bottom